Friday, December 20, 2013

Suarez aongeza mkataba hadi 2018

Commitment: Luis Suarez has signed a new long-term contract at Liverpool
Mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez akisaini mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2018. Mkataba huu utamuwezesha Suarez kulipwa kiasi cha paundi 200,000 kwa wiki ikiwa ni nyongeza ya paundi 70,000 kutoka kwenye mshahara wa paundi 130,000 aliokuwa akilipwa kwenye mkataba uliopita. Taarifa hii imekata mzizi wa tetesi uliokuwepo kuwa Suarez angehamia klabu ya Arsenal kwenye dirisha dogo mwezi January 2014. 

Stunner: Among Suarez's 17 goals this season was his breathtaking volley in the 5-1 win over Norwich, a match in which he scored four times

No comments:

Post a Comment