Monday, December 23, 2013

Tim Sherwood kocha mpya wa Tottenham

New boss: Tim Sherwood has been given the job at Tottenham on an 18-month contract
Tim Sherwood  amechaguliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Tottenham kwa mkataba wa miezi 18. Tim anachukuwa mikoba iliyoachwa na AVB, aliyefukuzwa kazi baada ya kuboronga kwenye mechi dhidi ya Man city. Tim mwenye miaka 44 alikuwa ni nahodha wa Tottenham kwa miaka mitano kabla ya kustaafu soka.  
Servant: Sherwood has been on the coaching club at Tottenham for five years and spent four years there as a player

No comments:

Post a Comment