Sunday, January 5, 2014

Legend Eusebio wanasoka daima watamkumbuka

Legends past and present: Eusebio presents Cristiano Ronaldo with an award to mark his 50th cap for Portugal in 2007
Alikuwa na miaka 71 na kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo. Eusebio alizaliwa nchini Msumbiji kama Eusebio da Silva Ferreira na anatajwa kama mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani. Aliitumikia klabu ya mjini Lisbon,Benfica FC kwa miaka 22 ambapo uwezo wake wa mbio na kasi, kuutumia vyema mguu wake wa kulia na mbinu za kimpira kulimpa umaarufu sana nchini Ureno na kubatizwa jina la The Black Pearl or the Black Panther. Wakati wa uchezaji wake alifunga mabao 733 katika mechi 745, pia alifunga mabao tisa kwenye michuano ya kombe la dunia ya mwaka 1966 na kuwa mfungaji bora wa mashindano hayo na kuisaidia Ureno kushika nafasi ya tatu kwenye michuano hiyo.

Tuzo na vikombe alivyowahi kupata 

BENFICA 
Portuguese League 
1960-1961, 1962-1963, 1963-1964, 1964-1965, 1966-1967, 1967-1968, 1968-1969, 1970-1971, 1971-1972, 1972-1973, 1974-1975 
Portuguese Cup 
1962, 1964, 1969, 1970, 1972
European Cup 
1962
PORTUGAL 
World Cup third place 
1966
INDIVIDUAL
European Footballer of the Year 
1965
European Footballer of the Year runner-up 
1962, 1966 
European Golden Boot 
1968, 1973
European Cup top scorer 
1965, 1966, 1968
FIFA World Cup Golden Boot 
1966 
Portuguese League top scorer 
1964, 1965, 1966, 1967, 1968, 1970, 1973

Tribute: The Eusebio statue outside the Estadio da Luz, home of Benfica
Sanamu ya Eusebio nje ya uwanja wa Benfica

Rekodi za magoli ya Eusebio 

Sporting de Lourenco Marques (1957-1960)77 goals in 42 matches
Benfica (1960-1975)
473 goals in 440 matches
Boston Minutemen (1975)
Two goals in seven matches
Monterrey (1975-1976)
One goal in 10 matches
Toronto Metros-Croatia (1976)
18 goals in 25 matches

Beira-Mar (1976-1977)
Three goals in 12 matches
Las Vegas Quicksilvers (1977)
Two goals in 17 matches
Uniao de Tomar (1977-1978)
Three goals in 12 matches
New Jersey Americans (1978)
Five goals in four matches
Buffalo Stallions (indoor, 1979-1980) 
One goal in five matches

No comments:

Post a Comment