Wednesday, January 22, 2014

Mata akosa mazoezi na klabu yake ya Chelsea leo

Picha hizi zinaonesha wachezaji wa Chelsea wakiwa kwenye mazoezi na kocha Jose Mourinho bila kuwepo kwa kiungo wa klabu hiyo Juan Mata. Taarifa kutoka Dailysport zinasema Mata ameshindwa kufanya mazoezi siku ya leo ili aweze kushiriki kwenye mazungumzo na wakala wake kuhusu uhamisho wake kwenda Man utd. Mata anatarajiwa kwenda United kabla ya wikiendi kufanya vipimo na anategemewa kucheza kwenye mechi kati ya Man utd na Cardiff City jumanne ijayo. Kuhusu ada ya uhamisho wa Mata, vyombo vya habari vinasema itakuwa kati ya paundi mil 37 hadi 40. 

There's no Juan there: Chelsea players at Cobham training ground on Wednesday, minus Juan Mata
Absence: Despite most of the squad being present, Mata was nowhere to be seen
Not in his plans: Jose Mourinho has not played Mata since bringing him off against Southampton
Eyes on the ball: New signing Nemanja Matic goes for a volley watched by John Mikel Obi
All hands: John Terry and Cesar Azpilicueta get up close and personal at Chelsea training Serious: Terry has eyes only for his fellow defender while Willian tried to keep warm in the background
Getting up for the Cup: All the players are involved in a keep-ball exercise before the FA Cup tie against Stoke

No comments:

Post a Comment