Tuesday, August 13, 2013

Wachezaji wa Brazil wakipata chakula kwa pamoja

Umoja wa timu ya taifa ya Brazil unaanzia mezani, picha hii inaonesha wachezaji wa timu ya taifa ya Brazil wakila chakula kwa pamoja nchini Uswis jana usiku. Ni kawaida yao kula chakula kwa pamoja huku wakipiga stori na kutaniana. 
726236668

No comments:

Post a Comment