Kikosi cha Yanga kilichokwenda jijini Tanga
Makipa: Juma Kaseja, Deogratias Munish "Dida" na Ally Mustafa "Barthez". Walinzi: Juma Abdul, Oscar Joshua, David Luhende, Mbuyu Twite, Kelvin Yondani, Rajab Zahir na Nadir Haroub "Cannavaro". Viungo: Haruna Niyonzima, Hamis Thabit, Nizar Khalfan na Haruna Niyonzima. Washambuliaji: Didier Kavumbagu, Jerson Tegete, Mrisho Ngasa, Saimon Msuva, Hussein Javu na Said Bahanuzi
No comments:
Post a Comment