Saturday, January 11, 2014

Yanga wakiwa mazoezini nchini Uturuki kujiandaa na mechi za ligi na klabu bingwa Afrika, Wakutana na Mbrazil Roberto Carlos


Robert Carlos (mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Brazil) akiwa pamoja na Msuva, Rupia, Kizuguto, Tegete na Pondamali


Robert Carlos (katikati) akiwa na wachezaji na viongozi wa Young Africans Sports Club katika picha ya pamoja - Sueno Beach Hotel kabla ya kuanza mazoezi


No comments:

Post a Comment