Thursday, February 20, 2014

Malinzi yupo Cairo kujitambulisha kwa bosi wa CAF

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi yupo jijini Cairo, Misri kujitambulisha kwa uongozi wa juu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Akiwa Cairo, Rais Malinzi ambaye alichaguliwa Oktoba 28 mwaka jana atakutana na Rais wa CAF, Issa Hayatou pamoja na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo Hicham El Amrani.

No comments:

Post a Comment