Friday, February 14, 2014

Neymar apewa green light kucheza wikiendi hii

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Neymar amepewa 'green light' kurudi dimbani baada ya kuwa nje kwa kipindi cha siku 29. Neymar aliumia kwenye kifundo cha mguu katika mechi ya Gatafe jambo ambalo lilimfanya akose mechi nane. Taarifa ya kupona kwa Neymar zimekuwa za furaha kwa kocha Tata Martino ikizingatiwa kuwa wiki ijayo Barcelona watakuwa ugenini kwenye uwanja wa Etihad kupambana na Man city kwenye mechi ya Uefa champions. Neymar anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza wikiendi hii dhidi ya Rayo. 

No comments:

Post a Comment