Friday, February 14, 2014

Pacha wa Luis Suarez kutoka Iraq atua UK

Luis Suarez's lookalike poses with Daniel Sturridge (main)
Shabiki wa Liverpool anayefanana na Luis Suarez akipozi kupiga picha na Daniel Sturridge. Jamaa huyu kutoka Iraq alikwenda nchini Uingereza ili kuwaona live Liverpool wakicheza sambamba na kutaka kuwaonesha watu jinsi anavyofanan na Luis Suarez. Mwenyewe amesema watu wengi wamekuwa wakimchanganya yeye pamoja na Luis Suarez mara nyingi licha ya kukiri kuwa amefanana sana na mchezaji huyo. 

Strike force: Suarez's double poses for a picture with the forward's partner Daniel Sturridge
Lookalike: Luis Suarez has a doppelganger Lookalike: Luis Suarez smiles during the defeat by Chelsea
Picha ya kulia ni Luis Suarez na picha ya kushoto ni jamaa anayefanana naye. 

No comments:

Post a Comment