Sunday, February 16, 2014

Ribery na Xherdan kuikosa Arsenal Uefa

A big miss: Xherdan Shaqiri will be out for the Champions League tie with Arsenal
Wachezaji wawili muhimu wa Bayern Munich Franck Ribery pamoja na Xherdan Shaqiri wataikosa mechi dhidi ya Arsenal kwenye michuano ya Uefa Champions itakayofanyika wiki ijayo. Kukosekana kwa wachezaji hawa kutamfanya kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kupunguza presha kidogo na kuweza kupanga kikosi cha mashambulizi zaidi ya kuzuia. Xherdan ameumia paja kwenye mchezo wa jana dhidi ya Freiburg, wakati Ribery alifanyiwa upasuaji wa misuli kwenye makalio. 

Ribery 


No comments:

Post a Comment