Friday, February 14, 2014

Msaidizi wa Ferguson afukuzwa kazi Fulham

Axed: Results hadn't been going Rene Meulensteen's way in recent weeks
Aliyekuwa msaidizi wa Sir Alex Ferguson, Rene Meulensteen amefukuzwa kazi ya kuifundisha klabu ya Fulham baada ya kuitumika kwa siku 75. Rene amefukuzwa baada ya kushindwa kukidhi mahitaji ya klabu jambo ambalo limeifanya klabu hiyo kushika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Nafasi ya Rene imechukuliwa na Mjerumani, Felix Magath. 

Wrong turn? Since leaving his coaching role at Manchester United, Meulensteen has been sacked twice
Rene wakati wa enzi zake akiwa Man utd na Sir Alex 

No comments:

Post a Comment