Thursday, February 20, 2014

Washabiki wameanza kuhoji uwezo wa Ozil baada ya kucheza hovyo dhidi ya Munich

Ozil
Picha hii inawaonesha Manuel Neuer (mwenye njano duara nyekundu) pamoja na Ozil (aliyeshika mpira na kuzungushiwa duara nyekundu) wakiwa pamoja kwenye shule ya msingi enzi hizo. Picha hii imetoka siku moja mara tu baada ya Neuer kuokoa penati ya Ozil kwenye mechi kati ya Arsenal na Bayern Munich. Lengo kuu la kutoa picha hii ilikuwa ni kuonesha walipotoka wachezaji hawa wawili jambo ambalo linaonesha kuwa Neuer anamjua vyema Ozil hivyo kuoa penati yake haikuwa jambo la geni kwake. 

Mbali ya kukosa penati Ozil pia alicheza mchezo mbovu dhidi ya Bayern Munich ikiwa ni mfululizo wa michezo kadhaa nyuma jambo ambalo picha limefanya baadhi ya washabiki wa Arsenal waanze kufananisha mchezaji huyu na Andrey Arshavin. Arsharvin alijiunga na Arsenal kama ilivyokuwa kwa Ozil kwa kutumia fedha nyingi lakini alishindwa kuonesha uwezo wake sambamba na dhamani aliyotumika kumnunua. Hali iliyomkuta Arshavin hadi kuuzwa imeanza kumkuta Ozil baada ya kufululiza kucheza chini ya kiwango hadi kufikia hatua ya kukosa penati ya muhimu. Licha ya minong'ono hii Ozil bado anatakiwa kupewa muda kuendelea kuzoea mazingira mapya akiwa na Arsenal. Lakini pia ikumbukwe kiungo bora anaonekana akiwa na straika mzuri, hivyo muda utakapofika kwa Arsenal kuwa na straika mzuri mchango wa Ozil na wenzake utaonekana vyema kuliko sasa. 

Bg3PmSLCcAAq4UU The school picture featuring Mesut Ozil & Manuel Neuer: Should the Arsenal star have taken that penalty?

Lost: Ozil has faded badly since making an impressive start for Arsenal when signed for £42.5million from Real Madrid in the summer
Ozil 

Parallels: Some fans are comparing Ozil with Andrey Arshavin, another player who arrived at Arsenal late in the transfer window for an expensive sum but didn't live up to expectations
Andrey Arshavin

No comments:

Post a Comment