Thursday, February 20, 2014

Inter Milan inaongoza jahazi la kumsajili Vidic

Off: Manchester United defender Nemanja Vidic (left) looks set for a move to Inter Milan this summer
Klabu ya Inter Milan imeamua kutangaza waziwazi kuwa ipo kwenye hatua za mwisho kumsajili beki wa Man utd Nemanja Vidic mwishoni mwa msimu. Habari hizi zimetolewa na mkuu wa Inter Milan, Erick Thohir ambaye amesema Inter Milan imefikia asilimia 90% kumsajili beki huyu ambaye ameshatangaza kuhama Man utd mwishoni mwa msimu huu. Mbali ya Inter Milan, klabu zingine ambazo zilisikika kumtaka mchezaji huyu ni PSG, Monaco na Barcelona.   

No comments:

Post a Comment