Wednesday, March 19, 2014

YANGA 1 - 1 AZAM ligi kuu Tanzania bara

Photo: YANGA 1 - 1 AZAM
Young Africans imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ya Azam FC katika mchezo wa wa Ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kufikisha poniti 40 ikiwa ni poniti nne nyuma ya Azam yenye ponti 44 lakini wauza ramba ramba wakiwa mbele kwa mchezo mmoja.

http://www.youngafricans.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=577:yanga-1-1-azam&catid=29:local-news&Itemid=59
Young Africans imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ya Azam FC katika mchezo wa wa Ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kufikisha poniti 40 ikiwa ni poniti nne nyuma ya Azam yenye ponti 44 lakini Azam FC wapo mbele kwa mchezo mmoja.

No comments:

Post a Comment