Wednesday, May 21, 2014

Suarez awapiku Ronaldo na Messi

Top of the charts: Luis Suarez has been revealed as Europe's most influential player in a new Top 50 Power Ranking compiled by Bloomberg Sports
Mtandao maarufu wa Bloomberg umemtangaza Luis Suarez kama mchezaji bora wa mwaka huu barani Ulaya baada ya kufanikiwa kufunga magoli 31 na kuiwezesha klabu yake ya Liverpool kushika nafasi ya pili kwenye ligi kuu nchini England. Bloomberg imesema, kiwango alichokionesha Suarez msimu huu kimepandisha thamani na jina la mchezaji huyu maradufu kuliko magwiji wa soka Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Ifuatayo ni orodha kamili ya 10 bora ya Bloomberg msimu huu 

1 Luis Suarez (Liverpool, 86.02)
2 Lionel Messi (Barcelona, 85.43)
3 Zlatan Ibrahimovic (PSG, 84.91)
4 Cristiano Ronaldo (Real Madrid, 84.59)
5 Kevin Strootman (Roma, 81.86)
6 Diego Costa (Atletico Madrid, 81.68)
7 Mehdi Benatia (Roma, 81.30)
8 Robert Lewandowski (Dortmund, 81.21)
9 Tiago (Atletico Madrid, 80.79)
10 David Silva (Manchester City, 80.79)

Still up there: Lionel Messi was second in the Power Rankings despite an injury-plagued season and a disappointing campaign for Barcelona Impressive: Cristiano Ronaldo came fourth in the Power Rankings after another superb season for Real Madrid

No comments:

Post a Comment