Pirlo akipiga mpira wa adhabu kuandika goli la kwanza kwa Italia |
Balotelli akishangilia goli la pili alililofunga |
Javier 'Chicharito' Hernandez akishangilia goli la kusawazisha alilofunga katika dakika ya 34 kipindi cha kwanza |
Vikosi vya timu zote na majina ya waliofunga
Italy: Buffon, Abate, Barzagli, Chiellini, De Sciglio; De Rossi, Pirlo, Montolivo, Giaccherini, Marchisio (Ceci 68), Balotelli.
Goals: Pirlo 27, Balotelli 78
Mexico: Corona, Flores, Rodríguez, Moreno, Salcido, Moreno, Zavala, Aquino (Mier 53), Guardado, Javier Hernandez, Dos Santos.
Goal: Hernandez 34
Angalia magoli ya mechi hii kwenye tab ya Video Highlights juu ya blog hii
No comments:
Post a Comment