Friday, March 29, 2013

Diaby nje miezi tisa

Abou Diaby kiungo mkabaji wa Arsenal atalazimika kukaa nje kwa miezi nane hadi tisa baada ya kuumia kwenye mazoezi siku ya Jumatano. Diaby ameaumia kwenye goti la mguu wa kushoto. Daktari wa Arsenal amesema Diaby itabidi afanyiwe upasuaji mdogo ili kuweka vizuri mifupa iliyoumia. Diaby ameungana pamoja na Theo Walcott na Jack Wilshere ambao pia ni majeruhi. 

No comments:

Post a Comment