Thursday, August 8, 2013

Wenger aipongeza teknolojia ya goli, inayoanza kutumika msimu ujao wa ligi England.

Wenger and referee Anthony Taylor (front right) will be hoping the technology brings an end to dubious goal-line decisions
Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, akisikiliza maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa teknolojia ya goli ambayo inatarajia kuanza kutumika msimu ujao wa ligi. Teknolojia hii itahusisha, mpira, saa, goli, na kamera zenye vifaa maalumu vya kuwasiliana ili kutambua goli. Teknolojia hii imegharimu kiasi cha paundi 250,000 kwa kila kiwanja, ambapo viwanja vyote vitakavyotumika kwa mechi za ligi kuu England vimeshafungwa sambamba na viwanja vitakavyotumika kwa michuano ya FA na ngao ya hisani. 
Technology: If the ball goes over the line then it will flash up on the watch
Huu ni mpira uliovuka msitari wa goli huku saa ikionesha goli. Kila mwamuzi atavaa saa hii na atakuwa akiiangalia kutambua kama ni goli. Saa hii pia itavaliwa na waamuzi wasaidizi na waakiba. 
A new era: Goal-line technology will be used in the Premier League next season, with the Hawk-Eye system installed at every ground
It's a goal: Referee Taylor (wearing watch) displays what officials will see when the ball crosses the line
Sensors on the stadium roof are part of Hawk-Eye's technology
Sensa zilizofungwa kwenye uwanja wa klabu ya Arsenal Emirates zitakazotumika kwenye teknolojia ya goli 
Answers: View inside the Goal Decision System truck
Chumba cha kuongozea
Signal: Arsene Wenger shows off the watch referees will wear to alert them the ball is over the line
Arsene Wenger akiongea na waandishi wa habari baada ya kupata mafunzo na kujionea utatendaji wa teknolojia hiyo ndani ya uwanja wa nyumbani wa Arsenal. Wenger ameonesha kuikubali teknolojia hii na amesema itatatua migogoro mingi ya magoli iliyokuwepo siku za nyuma. 

No comments:

Post a Comment