Raisi wa club ya Bayern Munich amesema sio kweli wachezaji wake wataondoka mwisho wa msimu huu. Robben, Kroos na Muller ni wachezaji muhimu wa Bayern waliopo kwenye kikosi cha kwanza. Wamehusishwa kuhama mwishoni mwa msimu huu kwa kile kilichoelezwa kuwa kocha mpya wa Bayern Pep Gurdiola hatowaitaji. Lakini Raisi wa Bayern amekanusha vikali maneno hayo yalitolewa na mtandao wa Sky Sports.
No comments:
Post a Comment