Kiungo wa Arsenal amesema kuwa hatoweza kuihama Arsenal mwishoni mwa msimu hata kama hajaweza kupata namba kwenye kikosi cha kwanza. Rosicky, amesema anaheshimu maamuzi ya kocha wake Arsene Wenger ya kumuweka benchi na anaamini timu yake itaweza kuipiku Spurs na Chelsea ili kushiriki kombe la mabingwa ulaya (UEFA Champions).
No comments:
Post a Comment