Tuesday, October 15, 2013

Lewandowski kuamua safari ya England word cup

Listen up: Robert Lewandowski is Poland's main man in attack ahead of their showdown with England
Mshambuliaji hatari wa Poland, Robert Lewandowski leo anatarajiwa kuwa muamuzi wa safari ya England kuelekea Brazil mwakani. Poland ijulikanayo kama jeshi la mtu mmoja yani Lewandowski pekee, leo itacheza na England kwenye uwanja wa Wembley, huku England ikitakiwa kushinda mechi hii ili iweze kukata tiketi ya kushiriki moja moja michuano ya kombe la dunia. Lewandowski ametajwa kuwa muamuzi wa mechi hii kwani yeye ndiye engine wa timu ya taifa ya Poland. Uwezo mkubwa na mchezaji huyu wa kupachika magoli unajulikana, huwa hafanyi makosa akiwa ndani ya kumi na nane. Mabeki wa England leo watakuwa na kazi ya ziada kumzuia mchezaji huyu, kwani hadi sasa ameshafunga magoli 18 akiwa na timu ya taifa. England hadi sasa ina pointi 19 huku wapinzani wao Ukraine wana pointi 18. Ili England isongembele lazima ishinde mechi ya leo ili ushindi wa Ukraine dhidi ya San Marino usiweze kuwazuia kwenda Brazil. 
Fighting fit: Lewandowski training at Wembley on Monday night in preparation for the big game
All smiles: Poland's captain Jakub Blaszczykowski shares a joke with team-mates as they warm up
When you're smiling: Frank Lampard (right) and Steven Gerrard resumed their places in midfield on Friday
All smiles: Wayne Rooney looks relaxed as he prepares for England's final qualifying game
Man of the moment: Andros Townsend arrives for training - and is expected to play on Tuesday

Msimamo wa kundi H 
Group H table

No comments:

Post a Comment