Wednesday, March 27, 2013

Video - Suarez alimvyopiga ngumi beki wa Chile

Mshambuliaji wa Liverpool na Uruguay Luis Suarez anaweza kupewa adhabu kali na FIFA baada ya kumpiga ngumi beki wa Chile Gonzalo Jara, katika mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia mwaka 2014 nchi Brazil. Shirikisho la Chile limetuma barua shirikisho la mpira duniani FIFA kutaka mchezaji huyo kupewa adhabu kali. Suarez ameshawahi kufungiwa mechi kadhaa na shirikisho la mpira England kwa mtukio yakijinga ikiwemo maswala ya ubaguzi. Angalia video kuona jinsi Suarez alivyompiga ngumi beki wa Chile Gonzalo Jara.  

No comments:

Post a Comment