Neguesh mpenzi wa Balotelli akionesha tattoo yake mpya aliyoandika maneno ya kimapenzi kwa Mario. Balotelli alianza mahusiano na Neguesh miezi sita iliyopita baada ya kuachana na Raffaela Fico. Raffaela na Balotelli walifanikiwa kupata mtoto mwezi desemba mwaka jana 2012 lakini hadi leo Balotelli hayawahi kumuona mtoto wake zaidi ni kutupiana maneno na Raffaela wakigombana kuhusu malezi ya mtoto. |
No comments:
Post a Comment