Monday, April 29, 2013

Gareth Bale ameshinda tuzo ya PFA

Double delight: Gareth Bale won both the Player of the Year and Young Player of the Year awards on Sunday
Gareth Bale akiwa ameshikilia tuzo mbili za mchezaji bora wa mwaka PFA na nyingine ya mcheza bora kijana. Bale anaungana na wachezaji wachache ambao wameshawahi kuchukua tuzo hizi mara mbili akiwemo Cristiano Ronaldo, Mark Hughes, Alan Shearer na Thierry Henry. Mara ya kwanza Bale alishinda tuzo hii mwaka 2010-11
Winners: Bale with Women's Player of the Year Kim Little and PFA Chairman Gordon Taylor
 Picha ya pamoja mchezaji bora wa kike Kim Little, mchezaji bora wa kiume Bale na mwenyekiti wa PFA Gordon Taylor (kushoto)

No comments:

Post a Comment