Friday, May 24, 2013

Mario Gjurovski avua bukta akishangilia goli

Mshambuliaji wa klabu ya MTU, Mario Gjurovski ya nchini Thailand alipewa kadi nyekundu baada ya kuvua bukta yake wakati anashangilia goli alilofunga dhidi ya TOT katika mechi ya ligi nchini humo. Angalia video yake chini 

No comments:

Post a Comment