Friday, May 17, 2013

Atletico 2-1 Madrid, Mourinho amekosa kombe msimu huu, ni sababu tosha kuondoka Real

Atletico Madrid
Klabu ya Atletico Madrid imeichapa Real Madrid magoli 2-1 katika mchezo wa fainali kombe la Copa del Rey. Kombe hili ndiyo lilikuwa la mwisho kwa Real Madrid msimu huu baada ya kukosa makombe mawili ya ligi na Uefa champions. Kukosa kombe hili kumeongeza joto la Mourinho kuondoka Real Madrid, na imesekana Mourinho anangojea mechi ya mwisho ya ligi dhdi ya Osasuna ili aweze kutanga rasmi kuhamia Chelsea. Habari zilizoenea kwenye vyombo vya habari ulaya inasema Mourinho yupo kwenye harakati za kuhakikisha anaondoka na Alonso na Ronaldo kwenda nao Chelsea. Msimu huu ni moja kati ya misimu mibaya ambayo imeshawahi kumtokea Mourinho kwani amemaliza bila kombe lolote, ni hali ambayo haivumiliki wa viongozi wa Real Madrid hivyo Chelsea wajiandae kumpokea Mourinho kwani hana sifa hata moja ya kuendelea kubakia Real Madrid ikizingatiwa pia mashabiki wa Real walishasema hawampendi Jose kwasababu ameharibu mpira wao. 
Arda Turan
Disappointed: Mesut Ozil reflects on a trophyless season
Red mist: Cristiano Ronaldo was sent off late on for kicking out at Gabi
Sent to the stands: Referee Clos Gomez sends off Jose Mourinho
AETReal Madrid [1 - 2] Atletico Madrid
14'[1 - 0]C. Ronaldo 
35'[1 - 1]D. Costa 
38'A. Turan 
54'F. Coentrao 
65'S. Khedira 
69'D. Costa 
72'M. Özil 
74'S. Ramos 
90'C. Ronaldo 
99'[1 - 2]Miranda 
100'M. Suarez 
101'M. Essien 
105'Koke 
114'C. Ronaldo G. Fernández 
120'A.D. Maria G. Fernández 
120'Miranda 
Vikosi
Real Madrid: Diego López; Essien, Ramos, Albiol Coentrao (Arbeloa 90); Khedira, Xabi Alonso; Ronaldo, Ozil, Modric (Di Maria 90); Benzema (Higuain 90)
Atletico Madrid: Courtois; Juanfran, Godín, Miranda, Filipe Luis; Gabi, Mario Suarez, Koke (Raul Garcia 112), Turan (Rodriguez 110); Diego Costa (Adrian 105), Falcao

No comments:

Post a Comment