Friday, May 10, 2013

Balotelli na Ferrari 450 mpyaaaaa

Thrill seeker: Mario Balotelli remains the most unpredictable player in the world
Mario Balotelli akiwa na Ferrari 450 mpya aliyoinunua kwa paundi laki 2. Mario alionekana nayo ndani ya eneo maalumu la kukimbizia magari nchini Italia licha ya kuwa mkataba wake na Ac Milan unamkataza asiende eneo hilo kwani anaweza kupata ajali lakini mchezaji huyo ameonekana kukiuka mashariti ya mkataba wake
Extravagant: Balotelli's Ferrari 450 cost him £200,000
Mario akiendesha Ferrari yake mpya

No comments:

Post a Comment