Monday, May 20, 2013

Mata kinara wa kutoa pasi za mwisho England

Kumi bora ya wachezaji walitoa pasi za mwisho (Pasi zilizo sababisha goli) katika ligi kuu nchini England. Juan Mata ndiye kinara wa takwimu hizi aliweza kutoa pasi 12 ambazo zilimuwezesha mfungaji kufunga goli. Uwezo huu wa kutoa pasi za mwisho ni moja kati ya sifa ambazo zilimfanya Mata anyakuwe tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ndani ya klabu ya Chelsea. 


  Jina                           Timu              Idadi ya pasi

Juan Mata
Chelsea
12
Santi Cazorla
Arsenal
11
Eden Hazard
Chelsea
11
Wayne Rooney
Manchester United
10
Theo Walcott
Arsenal
10
Steven Gerrard
Liverpool
9
Lukas Podolski
Arsenal
9
Shaun Maloney
Wigan Athletic
8
Robin Van Persie
Manchester United
8
David Silva
Manchester City
8
Carlos Tevez
Manchester City
8

No comments:

Post a Comment