Thursday, May 23, 2013

Pistorius asitisha kushiriki michuano yoyote mwaka huu hadi kesi yake itakapokwisha

Mshindi wa olimpiki medali ya dhahabu wa mbio za walemavu Oscar Pistorius hatashiriki katika mashindano yeyote mwaka huu kwani anasubiri kusikilizwa kwa kesi yake ya mauaji baada ya kushtakiwa kwa mauaji ya mpenzi wake Bi Reeva Steenkamp. Maneno hayo yamesemwa na wakala wake bwana Peet van Zyl ya kuwa Pistorius amefikia uamuzi huo kwasababu akili yake yote inangojea kujua maamuzi ya mwisho kuhusu kesi hiyo. 

No comments:

Post a Comment