Thursday, May 23, 2013

Rio asaini mkataba mpya na Man utd

Ferdinand has signed a new contract at Old Trafford
Beki wa Man utd Rio Ferdinand leo amekubali kusaini mkataba mpya na United mkataba ukaomfanya aendelee kuwepo Trafford kwa misimu ijayo. Rio amesema amefurahi sana kusaini mkataba mpya na ataendelea kuitumikia United hadi muda wake wa kucheza soka utakapofikia tamati. Rio mwenye miaka 34 tokea ajiunge na United mwaka 2002 ameshacheza mechi 432 na ameshashinda makombe sita ya ligi, moja la UEFA na FA cup mara mbili. 

No comments:

Post a Comment