Sunday, May 12, 2013

Vituko vya golikipa wa Rudar ya Slovenia

Golikipa wa Rudar Alen Pašagić amefanya vituko kupata kutokea kwenye soka baada ya kusababisha magoli matatu kuingia kizembe na hadi mwisho wa mchezo Rudar 1-4 Koper katika mchezo wa ligi nchini Slovenia. Angalia video iliyopo hapo chini 

No comments:

Post a Comment