Sunday, June 23, 2013

Aina mpya ya Luis Boa Morte ya upigaji penati

Aina hii ya upigaji penati bado haijawahi kuonekana katika soka na inaweza kuwa aina mpya ya upigaji wa penati licha ya kuwa inahitaji mtu mwenye nguvu ili kuweza kupiga penati ya aina hii. Angalia video chini inayoonesha penati hiyo kama ilivyopigwa na Luis Boa kwenye mechi ya kirafiki iliyoandaliwa na Luis Figo kuchangia watu wasiojiweza. 

No comments:

Post a Comment