Sunday, June 23, 2013

Mchezo wa kirafiki, Bunge 1 - 1 Barafu Sports club

Timu ya Bunge la Tanzania leo jioni imetoka droo ya goli 1-1 na timu ya Barafu Sports club kutoka Magomeni jijini Dar es salaam. Timu ya Barafu ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata goli katika dakika ya 75 ya mchezo na Bunge walisawazisha goli hilo katika dakika ya 85 kwa peneti. Mchezo huu wa kirafiki ulifanyika kwenye uwanja wa jamhuri mjini Dodoma. Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio ya mchezo huo 

No comments:

Post a Comment