Tuesday, June 25, 2013

Balotelli arudi Italia kwa matibabu zaidi

Goodbye: Mario Balotelli leaving Brazil with his girlfriend Fanny Neguesha
Mshambuliaji wa Ac Milan na Italia Mario Balotelli akiwa na mpenzi wake Fanny kwenye uwanja wa ndege nchini Brazil tayari kuelekea Italia baada ya kupata majeraha. Taarifa kutoka kwa daktari wa timu ya taifa ya Italia zinasema Balotelli amepata majeraha ambayo yatamfanya akae nje zaidi ya wiki tatu na imebidi arudi nchini Italia kwa matibabu zaidi, hivyo Balotelli atakosa mechi zote zilizobakia kwenye michuano ya mabara. 
Back to Italy: The forward will miss the rest of the Confederations Cup

No comments:

Post a Comment