Wednesday, June 5, 2013

Mpenzi wa Neymar alishindwa kujizuia Nou Camp

Bruna Marquezine mpenzi wa Neymar jumatatu ya wiki hii alishindwa kujizuia na kujikuta akitoa machozi mbele ya umati wa mashabiki wa Barcelona waliofurika Nou Camp kumshangilia Neymar alipokuwa akitambulishwa kwa mara ya kwanza kama mchezaji mpya wa Barcelona. Bruna na Neymar wameanza mahusiano mwaka huu licha ya kuwa Neymar ana mtoto moja Davi Lucca aliyezaliwa mwaka 2011 na msichana mwingine.  

Bruna alipokuwa Nou Camp wakati machozi yalipoanza kumlenga
Photo: Neymar's Girlfriend She is 17 years old  
Bruna akimwangalia Neymar huku akitokwa na machozi

No comments:

Post a Comment