Wednesday, June 5, 2013

Kenya yatolewa kombe la dunia na Nigeria

Timu ya taifa ya Kenya imefuta matumaini yake ya kushiriki michuano ya kombe la dunia mwakani nchini Brazil baada ya kufungwa nyumbani na timu ya taifa ya Nigeria goli moja kwa bila katika mchezo uliofanyika leo tarehe 5 Juni. Kwa matokeo haya Nigeria imefikisha pointi 8 ikiongoza kundi  'F' wakati Kenya inashikilia mkia kwa kuwa na pointi 2. 

Video highlights Kenya vs Nigeria 

No comments:

Post a Comment