Monday, June 24, 2013

Wadau mnakumbuka hili tukio? Ronaldo & Guardiola

Ilikuwa ni siku ya kugawa tuzo za wanasoka bora January mwaka huu nchini Uswis, ambapo Guardiola alichuna kumpa mkono Ronaldo. Video inaonesha jinsi Ronaldo alijisikia aibu. Bifu kati ya Guardiola na Ronaldo lilianza mwaka 2010 baada ya Ronaldo kumsukuma Guardiola uwanjani kwenye mechi kati ya Barcelona na Madrid. 

Cheki Ronaldo alivyochuniwa na Guardiola 


Cheki Ronaldo alivyomsukuma Guardiola, hapa ndiyo bifu lao lilipoanzia

No comments:

Post a Comment