Friday, July 12, 2013

Chelsea watua Bangkok na mapokezi ya kishindo

Klabu ya Chelsea imewasili jijini Bangkok nchini Thailand leo tayari kuanza ziara yake kwenye nchi za Asia. Jose Mourinho ndiye amekuwa kivutio kikubwa kuliko wote kwenye mapokezi ya timu kutokana na mapenzi yake kwa mashabiki wa Chelsea. Mashabiki wengi wa Chelsea wameonesha imani kwa Jose ambaye amejiunga tena na The blues mwaka huu. Kuwasili kwa Chelsea nchini Thailand kumeleta msisimko zaidi kwa wapenzi wa soka wa nchi hiyo, kwani Man utd pia ipo nchini Thailand kwa ziara ya wiki moja, hivyo mashabiki wa kila upande wanashindana kwa namna tofauti ikiwemo kuvaa jezi kwa wingi na kushangilia mitaani. Hadi sasa hali inaonesha ngoma ni droo kati ya mashabiki wa Man utd na Chelsea kwa kulinganisha idadi ya watu waliojitokeza kwenye mapokezi ya timu hizi mbili. Zifuatazo ni picha za mapokezi ya Chelsea leo hii

Respectful: Jose Mourinho, Frank Lampard, Eden Hazard and more have arrived in Bangkok
Fanfare: The local fans are as passionate about Chelsea as any
Stalwarts: John Terry, Frank Lampard and Petr Cech remain key figures for Chelsea
New look: Andre Schurrle is one of Chelsea's several summer recruits
Saviour: There are high hopes for Chelsea now that Mourinho has returned to the club
In the shade? Mourinho's rarely known for taking a back seat The Special One: The fans have made no secret about who their main attraction is
Stars on the road: But David Luiz on Jon Obi Mikel are absent

No comments:

Post a Comment