Thursday, July 18, 2013

Bayern Munich imeshakamilika, yapiga picha rasmi

Katika kuonesha kuwa timu imekamilika, klabu ya Bayern Munich leo imepiga picha rasmi za msimu ujao, picha ambazo zitatumika kwenye sehemu tofauti za klabu hiyo. Zoezi hili la kupiga picha rasmi za mwaka inamaanisha klabu ya Munich imeshajikamilisha na kwamba haitasajili au kuuza mchezaji yoyote. Hatua hii inaifanya klabu ya Bayern Munich kuwa klabu ya kwanza kati ya klabu kubwa barani Ulaya kujikamilisha mapema, kwani klabu zingine kubwa zikiwemo Man utd, Chelsea, Barcelona, Arsenal, Real Madrid na Liverpool bado zipo kwenye harakati za usajili. 
Picha ya nje 
Picha ya ndani

No comments:

Post a Comment