Sunday, July 7, 2013

Pambano la ngumu Mdee na Wolper droo

Muigizaji wa Bongo Movie Jack Wolper akiingia uwanjani kupambana na Mh Mbunge Halima Mdee. Pambano hili ni moja kati ya michezo iliyofanyika kwenye uwanja wa taifa katika siku ya tamasha la matumaini. 
Mh Mdee akiingia uwanjani akiwa pamoja na Mh. Nassari 
Ngumi ya Mh Mdee inakuwa fupi kumfikia Wolper
Mpambano ulikwisha kwa droo ya pointi 10-10

No comments:

Post a Comment