Wabunge wa Yanga wakishangia ushindi walioupata baada ya kuwafunga wabunge wanzao wa upande wa Simba kwa penati ya magoli 4-3. Mechi hii ilikuwa ni moja kati ya mechi zilizofanyika kwenye tamasha la matumaini jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete ndiye alikuwa mgeni rasmi katika tamasha hili. |
No comments:
Post a Comment