Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara timu ya Young Africans leo imepoteza mchezo wake wa kirafiki baada ya kufungwa mabao 2-1 na Express FC kutoka nchini Uganda katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga. Yanga iliwakilishwa na: 1.Dida, 2.Juma Abdul, 3.Oscar Joshua, 4.Mbuyu Twite, 5.Rajab Zahir, 6.Bakari Masoud/Salum Telela, 7.Sospeter Mhina/Abdallah Mnguli, 8.Hamis Thabit/Nizar Khalfani, 9.Shaban Kondo/Jeson Tegete 10.Said Bahanuzi,Notikely Masasi, 11.Abdalhman Sembwana/Didier Kavumbagu |
Sunday, July 7, 2013
Yanga yapigwa goli 2 - 1 na Express ya Uganda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment