Taifa Stars
chini ya Kocha Kim Poulsen inaendelea kujinoa jijini Dar es Salaam tayari
kuikabili Uganda (The Cranes) katika mechi ya kufuzu kwa Fainali za Afrika kwa
Wazhezaji wa Ligi za Nyumbani (CHAN) itakayochezwa Jumamosi (Julai 13 mwaka
huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ratiba ya mazoezi kwa Taifa Stars ni kama ifuatavyo;
Jumanne-
Julai 9 mwaka huu Saa 9
alasiri Uwanja wa Taifa
Jumatano-
Julai 10 mwaka huu Saa
9 alasiri Uwanja
wa Taifa
Alhamisi-
Julai 11 mwaka huu Mapumziko
Ijumaa- Julai 12
mwaka huu Saa
10 jioni Uwanja wa Taifa
No comments:
Post a Comment