Jose Mourinho akiwapa mafunzo wachezaji wa Chelsea kwa mara ya kwanza baada ya kujiunga na klabu hii akitokea Real Madrid. Tofauti na klabu zingine ambazo kwa wiki za mwanzo wameonekana wakifanya mazoezi ya kawaida, lakini Jose ameonekana akiwapa mazoezi ya nguvu wachezaji wake kwa kuwafundisha mbinu mbalimbli kwa nadharia na vitendo. |
Jose Mourinho aka 'the only one' akiwa kazini |
Kazi ipo msimu ujao... |
No comments:
Post a Comment