Monday, July 1, 2013

Serena naye atolewa, waliobaki wote ni vibonde tupu

Stunned: Serena Williams was turfed out in the fourth round by Sabine Lisicki
Bingwa wa dunia wa tenesi kwa upande wa wanawake Serena Williams leo ameaga mashindano ya Wimbledon baada ya kupigwa na Mjerumani Sabine Lisicki kwa seti 6-2, 1-6 na 6-4. Matokeo ya leo yamemalizia maajabu yaliyotokea kwenye michuano hii mwaka huu baada ya mabingwa wengine wakubwa kutolewa kwenye hatua za mwanzo, jambo ambalo limeifanya michuano hii kukosa hamasa, mastaa wengine waliotoka ni Sharapova, Azarenka, Caroline Wozniacki n.k. Matokeo haya yanamfanya Lisicki aingie kwenye robo fainali na atakutana na  Kaia Kanepi. 
Roar
Lisicki akifurahia ushindi dhidi ya Serena 
Shake on it: The pair speak after the amazing encounter

No comments:

Post a Comment