Saturday, July 6, 2013

Usain Bolt aweka rekodi nyingine Paris

Jamaica's Usain Bolt (R), Jamaica's Warren Weir and Jamaica's Jason Young (L) compete during the men's 200m at the IAAF Diamond League
Bingwa wa kufukuza upepo wa mbio fupi duniani Usain Bolt  jana usiku aliweka rekodi nyingine ya dunia baada ya kukimbia kwa sekunde 19.73 mbio za mita 200 na kufanikiwa kuvunja rekodi iliyoweka na Michael Johnson ya sekunde 20.01. Hadi sasa Bolt anashikilia rekodi za mbio fupi zote kwenye michuano mikubwa duniani ikiwemo olimpinki. Chini ni video inayoonesha Bolt alivyoweza kuvunja rekodi ya dunia mita 200 jijini Paris.   

No comments:

Post a Comment