Sunday, July 7, 2013

Vettel ashinda German Grand Prix mara ya kwanza

Sealed with a kiss: Sebastian Vettel claimed first in the German GP despite a late surge from Kimi Raikkonen
Sebastian Vettel akibusu kikombe cha ushindi wake wa kwanza akiwa nyumbani Ujerumani baada ya kushinda German Grand Prix akipata pointi 25 kwa kutumia muda wa saa 1.41. Huu ni moja ya ushindi mkubwa kwa Vettel aliyowahi kupata hususani kwa kuwaacha mbali wapinzani wake wakubwa akina Alonso, Hamilton, Button na Webber. 
Nürburgring, GermanyFinished 
07 July 2013 14:00 - 16:00Lap 60 of 60
PositionDriverCarTeamGrid PositionTimePoints
1DEUS Vettel1Infiniti Red Bull Racing21:41:14.71125
2FINRäikkönen7Lotus F1 Team41:41:15.71918
3FRAR Grosjean8Lotus F1 Team51:41:20.54115
4ESPF Alonso 3Scuderia Ferrari81:41:22.43212
5GBRL Hamilton10Mercedes PetronsF1 Team11:41:41.63810
6GBRJ Button5Vodafone McLareMercedes91:41:42.7078
7AUSMark Webber2Infiniti Red Bull Racing31:41:52.2736
Vettel
Lightning: Vettel speeds past his home crowd at the Nurburgring
Vettel akiwa spidi mbele ya mashabiki wa nyumbani 

No comments:

Post a Comment