Thursday, August 8, 2013

Ronaldo amuonesha Mourinho uwezo wake, wakati Madrid ikishinda goli 3-1 dhidi ya Chelsea

I'm the daddy: Ronaldo offered this celebration towards the dugout after scoring with a free-kick (below)
Mshambuliaji wa Madrid Cristiano Ronaldo, amemuonesha kocha wa Chelsea Jose Mourinho uwezo wake baada ya kufunga magoli mawili kwenye mechi ya kirafiki kati ya timu hizo leo asubuhi. Ronaldo hakuweza kushangilia goli lake la kwanza kama inavyoonekana kwenye pichi hii akiwa amejioneshea vidole huku sura yake ikiwa na sura kavu. Kitendo hiki kimetafsiriwa kuwa ni dongo kwa Mourinho ambaye amekuwa akisema maneno mabaya dhidi yake tokea ahamie Chelsea. 
Cristiano Ronaldo scores his free-kick against Chelsea
Ronaldo akipiga mpira wa adhabu uliongia moja kwa moja wavuni kuandika goli la pili kwa Madrid
No regrets: Chelsea boss Jose Mourinho, watching his side lose 3-1, said Roanldo is a great player
Mourinho akiwalalamikia wachezaji wake baada ya goli la tatu kuingia. 
Wide open: Ronaldo, celebrating his second goal, said he preferred to do his talking on the pitch
Ronaldo akishangia kwa nguvu zote goli la pili
Back in Blue: The match saw Frank Lampard make his first pre-season appearance after injury
Lampard alicheza mechi yake ya kwanza ya kirafiki baada ya kupona majeraha 
In his wake: Chelsea's Ramires rushes through the Madrid defence on his way to scoring the Blues' equaliser
'Jembe' Ramires akikatisha msitu wa mabeki wa Madrid kabla ya kufunga goli pekee la Chelsea. Magoli ya Madrid yalifungwa na Marcelo na Ronaldo mawili. 

No comments:

Post a Comment