Wednesday, September 4, 2013

Kweli wakubwa kwa wakubwa....

BTK5zHuCAAIChny Tottenham Supporters Trust to ask club about partnership agreement with Real Madrid
Tafsiri ya picha hii ni kuonesha jinsi Tottenham alivyozungukwa na Madrid na kufanikiwa kumuuza Ozil kwa Arsenal. Taarifa zilizopo ni kwamba, klabu ya Tottenham ilichelewesha usajili wa Bale ili Arsenal wasifanikiwe kumsajili Ozil, lakini mambo hayakwenda jinsi Tottenham walivyopanga, kwasababu Madrid na Arsenal walishajua janja ya Tottenham mapema, na wakawa washajipanga kukwepa matego. Pole sana Spurs!!

No comments:

Post a Comment